ALINAMBIA TUZIME TAA NDIO TUFANYE KUMBE ANA GONJWA LA ZINAA


✅Naandika Kisa hiki, ili kila mmoja mwenye masikio na asikie kisha ajifunze kupitia tukio hili..

🤦‍♂️Kwa majina naitwa R, Kuna binti nilikua namfukuzia mda mrefu sana, kiukweli nilikua nampenda kupitiliza lakini kila nilipojaribu kumshawishi alinitolea nje nakuambia hawezi kua namimi kwakua hatuendani na pia anamtu wake.

Kiukweli sikukata tamaa nikiamini kuwa huenda ananipima uvumilivu wangu na kujiaminisha kama kweli nampenda, basi baada ya miezi kadhaa ya kumshawishi bi dada akakubali kuwa namimi kimapenzi❤️, nilifurahi sana na kama unavyo jua vijana lengo letu kubwa lipo katika kutafuta mpenzi wa kufanya nae mapenzi na kuweka malengo baadae

✅Siku moja nilimuita geto, alikuja kwa wakati, tukala na kunywa kisha nikaomba anipe penzi lake, alisitasita sana lakini mwishoe akakubali tufanye lakini kwa sharti tuzime taa kwakua anaona aibu🤦‍♂️

✅Daah sikuwaza sana na ukiangalia mtoto ni mkali,mweupe mwenye shepu ya kuvutia, kiuno namba nae chuchu saa 6 kiukweli yule binti kaumbika, basi nikamwambia haina shida nikaenda kuzima taa, Nikapiga show kavu mana mipila nayo alikua hataki tutumie.Wakati tunaendelea na tendo kuna vinyama nyama nilikua navishika kwabibi kule na ni vigeni katika maisha yangu lakini nikajua labda kaumbwa hivyo basi baada ya show, mtoto akaenda bafuni, akavaa ndio tukawasha taa

✅Mwezi mmoja, Nikaanza kupata dalili za muwasho mkali sehem nyeti, hasa kwenye korodani na mashine mwisho vikaota vipeleke vya ajabu vinawasha kiasi kwamba huwezi jizuia, kadri siku zinavyo kwenda vile vipele vikabadilika kuwa kama vinyama vyenye rangi nyeupe vingine vikafanana na ngozi yangu, Daah ikabidi niende hospital, wakaniambia gonjwa la zinaa, natakiwa nimtafute alieniambukiza niende nae tukapewe ushauri na tiba, Nikampigia simu bibie akasema kweli nayeye analo gonjwa kama hilo ila hawezi kwenda hospital namimi anaona aibu..😢

✅Nikaamua kwenda hospital binafsi huko nako wakanambia gonjwa hilo linasababishwa na virus kwa hivyo halina dawa,wakanipa tu dawa za kupaka wakanishauri niende baada ya muda wakavikate, nikasema hii Balaa, nikatumia yale madawa mwezi ukakata havijaisha, nikaenda kuvikata kwa upasuaji lakini pia baada ya wiki kama 3 vikaota tena, nilichoka aisee

✅Ikabidi nizame na upande wa tiba Asili, bahati nzuri huku nikafanikiwa kupata mtaalam, Akaniandalia dozia zake nimetumia, hadi sasa ninavyo ongea kuna mabadiliko ya kupona nayaona..!

Ushauri wangu😢Tuweni Makini Ndugu zangu, Dunia imechafuka.

Kwa ushauri Na Tiba Asili Kwa Tatizo La Genital Warts ( Vinyama Kuota sehem nyeti )

Karibu wasap 0711 735 111 

By Mr Jusam Elim

Comments

Popular posts from this blog

UKIWA NA VIDONDA VYA TUMBO, NGUVU ZA KIUME ZINAPUNGUA🍌