✅Naandika Kisa hiki, ili kila mmoja mwenye masikio na asikie kisha ajifunze kupitia tukio hili.. 🤦♂️Kwa majina naitwa R, Kuna binti nilikua namfukuzia mda mrefu sana, kiukweli nilikua nampenda kupitiliza lakini kila nilipojaribu kumshawishi alinitolea nje nakuambia hawezi kua namimi kwakua hatuendani na pia anamtu wake. Kiukweli sikukata tamaa nikiamini kuwa huenda ananipima uvumilivu wangu na kujiaminisha kama kweli nampenda, basi baada ya miezi kadhaa ya kumshawishi bi dada akakubali kuwa namimi kimapenzi❤️, nilifurahi sana na kama unavyo jua vijana lengo letu kubwa lipo katika kutafuta mpenzi wa kufanya nae mapenzi na kuweka malengo baadae ✅Siku moja nilimuita geto, alikuja kwa wakati, tukala na kunywa kisha nikaomba anipe penzi lake, alisitasita sana lakini mwishoe akakubali tufanye lakini kwa sharti tuzime taa kwakua anaona aibu🤦♂️ ✅Daah sikuwaza sana na ukiangalia mtoto ni mkali,mweupe mwenye shepu ya kuvutia, kiuno namba nae chuchu saa 6 kiukweli yule binti kaumbika, basi n...